Recent content by spongebob

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka kati ya Tanzania na Zambia (Nakonde) wafunguliwa

    Ahsante mkuu kwa kuiweka hii sawa. Tuna habari nyingi sana za propaganda na ugonjwa huu utatuumbua
  2. S

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuendelea kiuchumi na kifikra kwa kuipinga mitandao na kuipinga Google

    Haya tumeyasema mpaka koo zinakauka. Tunakoelekea siko kabisa. Naihofia sana nchi yetu hii. Elimu yenyewe ndiyo imevurugwa mpaka basi. Mungu atusaidie.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuendelea kiuchumi na kifikra kwa kuipinga mitandao na kuipinga Google

    Ndugu yangu ukifuatilia mengi yanayoandikwa hapa unashindwa kuwaelewa ndugu zetu wengine. Hii jamvi ya JF yenyewe inaenda kufungwa mda si mrefu ila mtu yupo hapa kutetea kauli hizi za kudhibiti mitandao. Nafikiri tuna tatizo kubwa sana la elimu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuendelea kiuchumi na kifikra kwa kuipinga mitandao na kuipinga Google

    Kwa wale ambao wanatetea huu upuuzi wanajua kuwa hata blogu kama hii jf zinaenda kufungwa mda si mrefu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Umesema ukweli ambao awamu hii haupendwi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Utaitwa mchochezi. Upatiwe shughuli central.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Haya yote wanafumba macho na misifa isiyoshawishi ilhali kila mtu anajionea hali ilivyo mitaani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Mkuu ukase a haya wanakubrand mchochezi!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Hii ni kweli kabisa. CCM walidhani wanamzuia Mamvi lakini imekula hata kwao. Sasa kuondoka kutoka kwa hali hii ni kitendawili. Pili Tayari madhara ya hii miaka 2 (kama akibadilika au kuachia uongozi) makubwa sana tutayahisi muda mrefu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania BBC, nendeni taratibu. Kama ni habari, chujeni kwanza mtoe za uhakika

    Awamu ya lawama kila kona.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania All flights to- and fro- Dubai cancelled

    Hizi habari si za kweli.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Allen Achiles aliyefariki baada ya kupigwa na Polisi azikwa na mamia Mbeya

    Unajiuliza kwa nini watawala hawaioni hii hatari iliyo mbele yetu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuua upinzani ghafla umegeuka msiba kwa wauaji

    Hamna haja ya kupoteza mda kujadili chochote na hawa watu. Ukisoma comment zao mbili tatu inaonesha kabisa fikra za kutopenda maoni badala. Wanaamini wakifungia watu wasiongee cha kupinga watazuia hata mawazo!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wakamata watu wawili wanaojihusisha na utekaji

    Jitihada zinaonekana sana kipindi hiki.
Back
Top Bottom