Una maanisha mizigo yangu haijafika Dar au imeshafika? Nijibu hili hlf nitakujibu kwa proof. Maana jackson na mul hat wamenieleza tofauti which ni uongo mpaka sasa hv hamna mlichofanya na simu mnazima au hampokei. Hapa ndio tatizo la kufanya kazi na kampuni changa kwasababu hawajui hata umuhimu...
900940093913 huu mzigo umefika 20th August wa HK na haujafika mpaka leo bado siku chache tu iwe mwezi
900940093957 huu umefika kwenu mwisho wa mwezi wa nane 26 mpaka 28 nao haujafika nao ni wa HK.
Mbaya zaidi hampokei simu wote mpaka mabinti zenu na mnazima pia.
Nipe sababu kwann sijapata mzigo...
Huduma zenu mbovu sana, hamna adabu na hamjali wateja. Simu hampokei leo siku ya 5, mizigo yangu ina 26 days hlf unasema unaagiza kwa haraka. Mwambie Jackson akafanye shughuli nyingine hakuna mtu atakaekubali ujinga na utoto mnaofanya. Kama mnakosa mpaka hela ya kutoa mpaka mizigo for a week ni...
Mkuu nahitaji set inayokuwa Na jack ya umeme, mashine yakufungulia nut za tairi ya umeme, Waya ya kuboost gari Na kimashine chake Na vitu vingine vitakavyokuwa humo. Nimeziona alibaba nadhani utakuwa umenielewa. Asante
Sent from my iPad using JamiiForums
Habari Mkuu,
Nina zangu nauza nimefunga ofisi, mashine ni ir 2800, ir 3300 Na ir 2545i (haina power supply). Kama tunaweza kufanya biashara au unateja tuzungumze.
Asante
Sent from my iPad using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.