Recent content by Spicegal

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    Kwa hiyo unataka kusemaje hahaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

    Sikilizeni hii kitu huu mjadala yaani huu uchambuzi wa uzi huu Tlaatlaah DR Mambo Jambo The Legacy don-mike
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Duh sijui kumetokea Nini naona Asilimua kubwa wamelipwa Ila najiona sijalipwa ati.. Mpaka nikahisi wamenitoa kwenye Payroll Cc: jeneralikevin
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Ni mimi tu ndo sjapata mshahara au
  6. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

    Sasa itakuwaje kwa sisi Tuliosoma Diploma na Tunafundisha Secondary Mkuu au ndo tutapata RIDANDASII.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Inafaida Gani kwetu wenyewe wapange wakimaliza watuletee tushazoea
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Hapana wengi wamepata na tumepata mkuu me nimepata na na nikoserious kuhusu hilo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Anhaaa Tamisemi tumepata siku nyingi huenda serikali kuu kuna shida
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Mbona tayari au Tamisemi imependelea Halmashauri yetu jaman 😅😅
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Ndyo maana hajui machungu tunayopitia huyoo😅😅
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Hapana kaka angu sijadangany Jana nimepata Maokoto Ya mshahara Nashukuru Mungu ila wangeongeza siku ningekufa... Ila wengine wa NMB wamelipwa leo kwa halmashauri yetu na wote wameshalipwa kwetu sasa sjui kwa halmashauri yako uliza kwa watu wengine unaowafahamu mshahara jana ulitoka
  13. S

    JamiiForums Tanzania Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

    Chezeya wanyamwezi wewe
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Hahaha Tatzo huku Tuliko utaanzisha biashara Gani
Back
Top Bottom