Recent content by sphygmo

  1. S

    JamiiForums Tanzania BASATA: Tuliufungia "WAPO" wa Ney wa Mitego kwa sababu za kipolisi

    Ni chizi aliyekabidhiwa rungu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Rais Magufuli upo wapi? Nimeshindwa kueleweka, lakini nitaeleweka tu!

    Tumia kichwa kuwaza, jamaa 'sizonje' anatuonyesha kiganja, huku maana halisi ipo nyuma ya hicho kiganja. Simuamini na sitomuamini kamwe.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Rais Magufuli upo wapi? Nimeshindwa kueleweka, lakini nitaeleweka tu!

    Jamani kumbukeni yaliyomkuta mwanamapinduzi Hanga kule Zenji, Never x 777090 a politician. Hajamsamehe kwa nia njema. Mjue sizonje ni mtu wa visasi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Refa ni wao piga manat "Pyoko"
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Wanaendeshwa kwa remote ya udongo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Umenikumbusha ya mwanamapinduzi Hanga wa Zanzibar na Karume. Never trust mwanasiasa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Aongeze za kwake, si nishamuona akipiga tumba! Aingie studio akarekodi nyimbo zake si kumwelekeza msanii anavyotaka yeye "kobo!"
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Hana lolote, anajaribu kupunguza kuchukiwa, ukweli tunamchukia mno, na kuruhusu wimbo huo si dawa ya kuondoa chuki kwa wa Tz juu yake.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hans Pope: Ni nchi nne tu zenye smelting duniani,tanuri moja tu linaweza kula nusu ya umeme wetu

    Huyu kazaliwa, kakulia ktk umasikini uliokubuhu, yaani kila analowaza na kufanya lina reflect 'primitive complex'
  10. S

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Biashara matangazo, alikuwa anafanya promo ya tigo lake "Wapo"
  11. S

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Viongozi mashoga "Wapo"
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mbwa mkali

    Usiyeyua jina la mbwa huyo ni wewe tu. Kweli jibwa letu linakula ngada.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Refa ni wao piga manat "Pyoko"
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuepusha Taaruki Rais awe anahutubia taifa kila mwisho wa mwezi

    Asihutubie kabisa, kwani kila asenalo ni utumbo
Back
Top Bottom