Recent content by spernew

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

    Utakuwa unapumuliwa kisogoni ndio maana unamsifia! Aisifuye mvua imemnyea!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Prof. Kabudi ni bingwa wa kuchapia, hasa kwa watu wasiomuelewa au walio wavivu wa kusoma au wenye uelewa wa juu juu

    Lissu ni habari nyingine, sasa hapo nani ni prof. wa sheria?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Mtoa post jua baraka zile zilihama kutoka Israel ya mwililini na kwenda kwa Israel ya rohoni, Taifa unaloliona leo la Israel ni sawa na Taifa lolote lile duniani, ndio maana umeona limeshikamana na Taifa lenye nguvu duniani ambali ni USA.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Walipanga maovu na ndio wanayoyafanya sasa kudhoofisha Serikali

    Nchi inawekewa vikwazo vya kiuchumi wewe unaleta porojo hapa,Bank ya dunia imejitoa kufadhili miradi ya tz, biashara zinakufa, migodi inafungwa, watu wanakuwa masikini wewe umebaki na porojo tu! Mpango kashakiri uchumi wa tz una hali mbaya sana. Kama kuna kundi la watu wanaoikwamisha serikali...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Muswada Bungeni: Fao la kujitoa limefutwa rasmi

    Kwani hii Sheria haiwezi kupingwa mahakamani? Mbona haki zetu zinaporwa na serikali hii bila hata kushirikisha wahusika?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mama Salma Kikwete aiomba Serikali kurudisha sarafu za Senti 5, 10, 20 na 50 zitumike kufundishia

    Tunataka tujue elimu ya huyu mama!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge Nao Wasubiri Miaka 60 Kuchukua Mafao yao

    Fao la kujitoa ni muhimu liwepo maana wafanyakazi wanategemea ndio akiba yao baada ya kuwa nje ya ajira bado serikali hii inabana eti mpaka miaka 60 huu ni uonevu mkubwa sana eti mtu afe njaa akisubiri kufikisha miaka 60! Kwa nini kwa suala hili wabunge wasiungane kindakindaki kuhakikisha...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Anamlaaumu Mbunge badala ailaumu serikali inayokusanya kodi! Poor mind!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajitetea kukua kwa Deni la Taifa. Adai kuwa tajiri lazima ukope, kuwa na madeni sio dhambi

    Jamani si alisema mradi wa SGR unaendeshwa kwa fefha za ndani? Mbona anatutia mashaka kuamini mengineyo atakayosema?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli, utaendelea kututia hasara mpaka lini? Kuwa na huruma na kodi zetu!

    Maamuzi ya mtu mmoja yameligharimu taifa lote. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Huyo mkeo sio mchaga kabisa! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

    Ha ha ha ha ha..........!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Vita yako dhidi ya wanyonge inaweza kuigharimu nafasi yako ya urais mwaka 2020

    Alisema yeye miaka 5 inamtosha kunyoosha nchi na hicho kipindi kingine cha miaka 5 mpeni mwingine ndio maana anafanya hayo!
Back
Top Bottom