Recent content by speki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Mkuu mimi nina subaru forester XT ya 2009 na mara ya kwanza nikatumia oil ya 10W60 atlantic, baadae nikaja nikatumia Liquimolly 5W 30 Fully synthetic ila baadae nikaambiwa hizo zote sio oil nzuri ndio nikaambiwa nitumie Quartz Total 5W 30 fully synthetic hapo vipi mkuu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Namna sahihi ya kutafsri majibu ya VVU

    Ni kuwa na mpenzi mmoja na kutulia ndio suluhisho pekee
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Hivi ukifanya mazoezi mazito stamina inapotea eeh?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yetu anaishi na Virusi vya UKIMWI, tumwambie ukweli mchumba wake?

    Mrejesho vipi
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matured born again christian men for marriage

    Una watoto wangapi
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Mrejesho mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Israel kushambulia Iran siku ya sabato hivi Israel ya sasa inafuata misingi ya dini ya kiyahudi?

    Umeshiba makande huko unakuja kuhara hapa, wakati Irani wenyewe wamesema shambulio lilikuwa baya sana
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

    Ondoka wewe huwezi kaa sehemu huna hisia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Haya maelezo yanaonesha uimara wa Israel au udhaifu wa Iran?

    Huyo mmama anaongea hadi raha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

    Safi sana Israel chapa hayo magaidi
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MWANAUME INGIA HAPA

    Cha kufia nini na maisha magumu hivyo.. si utafute mke wako mmoja umtunze, umpende alafu ujipimie mbona watu mnapenda maisha ya shida hivyo bila sababu ya msingi.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

    Yani 60,000/= tu ndio unalia lia hivyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Abd Al Kareem Qassim ataka yeshe, Israel muwe na ubinadamu basi. Deputy Commander wa Quads auawa

    Hahahah hakuna kucease fire hapa, Isarael pelekea fire hao magaidi fyeka wote dunia iwe na amani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

    Bonge moja la speech kutoka kwa bonge moja la kiongozi
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafata mume, mwenye sifa hizi

    Mbona hujaweka vigezo vya unaemhitaji sasa na hujaweka vigezo vyako
Back
Top Bottom