Recent content by SpecialBwai

  1. S

    Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    Jamani kama uliomba kazi tra post za level ya diploma kaa kalibu nasimu yako wameanza kuita (tax assistant,preventive assistant na custom assistant.
  2. S

    Prof. Anna Tibaijuka ni kiongozi safi na hao wanaotumwa kumchafua wataaibika tu

    Muhujumu uchumi uyo mama ako kama ulikuwa ujui na sasaivi ameiba kura kuingia bungeni muleba wananchi wanalia kwamabaya yake
  3. S

    Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Ndugu bado ujajuwa income tax act kasome upya!!!
  4. S

    USHAURI :Nimepata kazi nikiwa bado nasoma

    Kaka mimi nimmoja wapo ya watu waliopangiwa kazi utumishi tena halmashauri post ya assistant accountant nimeenda kulipoti na nimemuomba mkurungenzi ruksa ya kwenda kusoma nimeruhusiwa so nenda bro kazi serikalini zinasumbuwa!!!
Back
Top Bottom