Recent content by Spav V

  1. Spav V

    SPEECH YA "CAPTAIN FANTASTIC" ILIYOBADILI MCHEZO 2005

    Manuel Enrique Mejuto Gonzalez alizaliwa tarehe 16 aprili 1965 huko la Felguera Langreo,Hispania......Huyu ndiye mwanaume aliyechezesha mchezo wa finali ya klabu bingwa ulaya mwaka 2005 kàti ya Liverpool ya England na Associazione Càlcio Milan (Ac Milan) ya Italia.Katika kipindi chake çha uamuzi...
  2. Spav V

    Upinzani hautakufa

    Kuna mkereketwa mmoja wa CCM ambaye pia nina mashaka tele na upeo wake katika kuyaelewa mambo, ameandika kwenye ukuta wake hivi: “Wacha vyama vya upinzani vife. CCM yenyewe peke yake ni zaidi ya vyama vingi.” Akamalizia na kuhoji, “Unabisha?” Hili inawezekana pia linawakilisha mawazo ya...
  3. Spav V

    Mbeya : Mtendaji kata ya Sisimba ahamishwa usiku huu baada ya kuonekana kukataa hujuma dhidi ya Chadema

    Madola makubwa yalianguka CCM ni kitu kdg sana,Tumeshaikataa CCM wanatu-force tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Spav V

    CCM,adui namba moja wa mzanzibar

    Wakati tunasoma andiko hili ni vyema tufahamu kwamba historia ya taifa hili na hasa Muungano haijaandikwa itakiwavyo na kuwekwa wazi,Watanzania wamekuwa wakipewa tafsiri ya kisiasa pekee na hivyo Muungano umebaki kuwa "Fumbo la Imani" kwa kuwa ni dhambi kuu Kuhoji juu ya Muungano. NINI...
  5. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya Ukuaji wa kiuchumi(Economic growth) & Maendeleo ya kiuchumi(Economic development).kitakwimu Nigeria ni taifa lililopiga hatua kubwa sana kiuchumi barani Afrika,lakini ukipitia Human Development Index Report ambayo ni kipimo cha maendeleo ya mtu mmoja mmoja...
  6. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya Ukuaji wa kiuchumi(Economic growth) & Maendeleo ya kiuchumi(Economic development).kitakwimu Nigeria ni taifa lililopiga hatua kubwa sana kiuchumi barani Afrika,lakini ukipitia Human Development Index Report ambayo ni kipimo cha maendeleo ya mtu mmoja mmoja...
  7. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Wasomi wanateuliwa mkuu, na hizo ni nyadhifa na si nafasi za ajira tunazozizungumzia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Right Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Unalozungumza lipo lakini wamefikia kiasi cha kusahau hata vyuo na kozi walizosoma? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Spav V

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare"...
Back
Top Bottom