Recent content by Sp Mnaku

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kubadili sifa za kada za afya

    Ada ya kuapply ni tsh 10000 je na hiyo 30000 Imekaaje Tena maana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

    unaonekana we ndo mtoto .nimeleta hii mada kwa lengo muhimu ninalolifahammu na ndio maana nimetumia neno NAOMBA KUJUZWA kama unaona huwezi kwenda na mada/kutoa msaada pita hiv
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

    mm nipo mkoani makumbusho yapo dar
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni Viongozi wa mbio za mwenge tangu uhuru 1961

    naomba tutaje na mwaka husika
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

    Habarini wakuu. Naomba kujuzwa majina ya viongozi waliokimbiza mwenge kitaifa tangu tupate uhuru. Natanguliza shukrani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni Viongozi wa mbio za mwenge tangu uhuru 1961

    habarini wakuuu,......naomba kujuzwa majina ya viongozi waliokimbiza mwenge kitaifa tangu tupate uhuru
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    wakuu nisaidieni joining instruction ya JIKOMBOE SECONDARY ipo CHATO mkoani GEITA kwa Magufuli MSAADA WAKUU
  8. S

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    nisaidien joining instructions ya JIKOMBOE SECONDARY SCHOOL ipo mkoan geita
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

    je mm nilichaguliwa mwaka jana pale tanga MARAMBA KJ 838 .nikachelewa kuripoti je nikienda tena nitapokelewa na niende hapo hapo au kambi yoyote ............ ......... msaada wakuuu.............
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

    mm nilichaguliwa mwaka jana nikachelewa kuripoti je nkienda nitapokelewa? ni mujibu. maramba kj 838
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uliza jambo lolote kuhusu uskauti, utapata majibu sahihi hapa

    good ebu wacha nimpe moja naona kichefu chef kuona mzuzu mie
  12. S

    JamiiForums Tanzania Aman kamishna wa skauti mbogwe mkoani geita

    samahani mtu yeyote aliyeko masumbwe au popote pale ambaye ana namba ya kamishna wa skauti wilaya ya mbogwe anipatie maana anatakiwa aje kambini hapa ushirombo bulega sec.school
  13. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Asante mkuu but unaweza kuchangia kidogo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Jaman mpaka leo cjapata ushaur kwa matokeo ya rafki yangu amesoma cbg amepata chem-E,bio-C,geo-B,bam-F gs-D.Anataka kozi zifuatazo medical lab,nursing,veterinary,agriculture .je anaweza kupata na chuo gani kitafaa kwa matokeo yake?je kozi gan zingine hasg za afya zitamfaa? ushauri jaman
Back
Top Bottom