Recent content by Sp donor

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano

    Usikose njoo huku
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano

    Why uniite fala?
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano

    Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sio wewe tu ndugu yangu, wengi tuna hii misala sema tumekausha. Watoto na mama zao wa nje tunawapenda ila kuwatambulisha inakuwa ngumu maana unawezafupisha maisha Yako hapa duniani
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ubarikiwe hujamshauri Insider tu Mimi nimepata ya kujifunza hapo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Hapo kwenye Bitcoin Bado Kuna namna uwekezaje wake unalipa. Mfano 2018 Bitcoin ilikuwa $3000. Kama ungenunua hata Bitcoin 3 tu Leo hii Bitcoin Moja ni $57,000 yaan return ya $54,000 kwa maika sita zidisha kwa coins 3 sasa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    BOT wanauza hati fungani za 15.49% annually risk free.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Ushakariri Kila anayeishi rukwa ni mfipa. Kukosea lugha pia ushatoa na hukumu kwamba hamna kitu? Binadamu nyie hatari sana.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Asogee tu PM maisha hayana formula siku hizi.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Mhhhh njoo pm kwanza yanazungumzika
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Huo ni mtazamo wako si Kila jina basi humaanisha hasa huku kwenye social
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Dalali wa vitu gani boss
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Unapokuja pm si unaandika namba nakupigia tunakutana au?
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Upo rukwa? Hakuna haja ya vocha tuonane tu ana kwa ana
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Inaombwaje mkuu
Back
Top Bottom