Biashara ya mafuta imekuwa na ushindani sana , huu ushindani umrpunguza sana faida , unakuta ubaoni bei inasoma 2218 PMS , GO 2251 ukiengia ndani unapewa discount had I 150- 200|= kituo kinachojitahidi kuwa na mauzo mazuri kinauza Lita 300,000 kwa mwezi vituo vya kawaida vinauza Lita 150,000...
Ndugu zangu tujitahidi kuwa wakweli kwa sasa biashara ya mafuta haelipi kabisa kwa watu wenye mitaji midogo kutokana na kodi na tozo mbalimbali kwenye bidhaa za petrol. Mashine za EFP zimeharibu sana TRA wanachukuwa full kodi, Services levy wanachuukuwa periodic report bado OSHA, EWURA, WMA...
Mjii wa Tunduma unafursa nyingi sana na ni mjii unaokuwa kwa kasi
Fursa zilizopo
1. Biashara mbalimbali wafanyabiashara wengi kutoka Zambia na Congo wanakuja kununuwa Bidhaa mbalimbali
2.Kilimo:- mahindi, mpunga, maharage, alizeti, mboga mboga
3. Madini mbalimbali yanachimbwa n
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.