Kuna watz wametengeneza payment system wanaitwa shoket wengine ni swahiliespayment (Twitter wanatumia @shoketpayment wengine @swahiliespayment) wacheki may be watatua changamoto yako
Nenda kwenye distribution board (mafundi wanapenda kuita main panel). kisha chomoa waya zinazoingiza power kutoka tanesco. Kisha chomeka waya za bettry, positive kwnye red/brown na negative kwnye blue, green usiitumie (funga tape kabisa).
Alafu chomoa taa zako zote kisha weka taa za DC (ambazo...
Kwanza tafuta jina la kampuni kisha nenda brela ukasajili , baada ya hapo utaenda CRB (contractors registration board) ipo mitaa ya posta, utapewa form ambayo inaonesha unatakiwa vtu gani usubmit ili uweze kusajiliwa Kama kampuni ya ujenzi. Baada ya hapo Kuna kwnda TRA kulipa Kodi, halmashauri...
Mkuu usiwaze Sana, wanawake sometimes huwa wanapenda Sana kuwafurahisha ma ex zao kwa kuwaambia maneno mazuri, mojawapo ya maneno hayo ni kuwaambia ma ex kuwa wamelazimishwa na wazazi kuolewa/kuwa na wewe.
Miaka Kama mitano iliyopita, Kuna kampuni fulani nilikua nafanya kazi, makao yapo dar ila baadhi ya projects zipo mkoani.
Mimi nilitumwa kusimamia mojawapo ya project iliyokua mkoa fulani, kabla ya kusettle nilikua natumwa huko kukaa Kama siku 3 kucheki project inaendaje Kisha narudi dar.
Pale...
Kama target yako ni Tanzania pekee basi market ipo kwa PHP ila Kama target ni kuwa international, jifunze tu python, kama wewe ni programmer Anza kutafuta kazi za programming za nje (remote works) alafu uje tena
Nikujibu kwa ufupi Kama unataka kuliteka soko la Tanzania pekee jifunze PHP Sana , Ila Kama unataka kuliteka soko la dunia nenda huko node.js,
The choice is yours
upande wangu ni node.js
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.