Recent content by South Korea

  1. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    We usinichekeshe.
  2. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Nimezituma hizo tweets sababu nimesoma baadhi ya comments za watu wanasema hii habari ni ya uwongo,Ushahidi tayari nimetuma leteni kingine na ukumbuke uko tweeter hakuonogi wanatweets tu hii habari ya na Diamond na FifaWorldCup.
  3. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Hii ndo source ya habari yangu na pia pitia account ya diamond platnumz uko instargram kapost leo sema JF ndo wa kwanza kuipata habari hii.
  4. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Wabongo kwa kufikiria mapenzi namba moja!! Wewe na we eeh!!mmmh¿¿¿…
  5. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Mods kichwa cha habari please malizieni jina hilo Nimeandika DiamondPlatn badala ya DiamondPlatnumz,rekebisheni haraka.
  6. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    KOMBE LA DUNIA. Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi. Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii...
  7. South Korea

    JamiiForums Tanzania Drone, Nyambizi za Iran zapiga picha manowari ya US

    Ufafanuzi mkuu kuhusu picha.
  8. South Korea

    JamiiForums Tanzania WCB Waendelea kuchuniwa. Safari hii na mwanamuziki wa nje, Jason Derulo

    Na akae akijua #Marry you ya diamond ilitrend namba 07 Nchini kwa trump. Nitaleta ushahidi mtandao unazingua.
  9. South Korea

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Kama mlishindwa kumuangusha Dai kipindi kile cha my number one remix ndo basi tenaaaaa
  10. South Korea

    JamiiForums Tanzania Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

    Ilo swali muulize mtoa mada
  11. South Korea

    JamiiForums Tanzania Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

    Kupendana hakuna siku maalum siku yoyote na saa yoyote unaweza mpenda mwenza wako mama yako,baba yako,ndugu,rafiki,jamaa,jirani na yatima pia nakadhalika na watu wasuhusuyo kwao. Upendo hauna tarehe maalum wala siku maalum muda wowote unaweza penda,hayo ya valentine's day waachie akina Trump uko...
Back
Top Bottom