Recent content by souljar

  1. S

    Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Kuna sales kwenye kampuni ya heavy equipment machines wanafunga mpaka 5m bado na gari wanampa
  2. S

    Natafuta wanunuzi wa nondo aina ya bs500(hardwares na construction companies)

    Habari wanajamii, Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye biashara kwa bei nzuri sana za nondo tuwasiliane na maelezo mengine kupitia namba 0794669628 watu wa...
  3. S

    Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Bila khadja nin list haijakamilika ata kidogo.
  4. S

    Video: Mjadala wa Wachina rasmi umetua Bungeni. Hongera sana Charles Kimei kwa nondo hizi, tunaomba hatua zianze kuchukuliwa!

    Kama kuna kitu cha kipuuzi kwa hawa wa china ni namna gani wanakandamiza kwenye mishahara yani wako tayari kulipana mpaka 20,000 usd wenyewe kwa wenyewe ukija kuangalia graduate wanakwambia wakulipe laki 4 kweli wanatuona manyani na usimamizi wa halo ya juu kila mda yuko nyuma yako na...
  5. S

    Connection ya Ajira Nchini Canada, Dubai, Qatar & Scandinavian Countries

    Habari wa jamii, Naomba niwape taarifa nzuri kwa wale wanaotaka connection ya kwenda Japan njoo inbox nikupe maelezo kamili na kuanda vikao,tafadhali kwa wale ambao wako serious tu
  6. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    Haukuwa na haja ya kucomment.
  7. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    Unaweza kuja kwenye site tufanye mambo rahisi
  8. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    Nimeshataja bei
  9. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    Uko sawa kabisa ningependa kuanzia 55 million maongezi yapo.
  10. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    Nimesema njoo ukague unipe offer nzuri
  11. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    HABARI, NAKIWANJA CHANGU ZINGA(BAGAMOYO ROAD)UKUBWA 2780 SQM NATAKA MTEJA WA UHAKIKA NAJAMBO LANGU BEI SASA NATAKA OFFER NZURI TU KINA HATI FIKA SITE TUZUNGUMZE JANUARY HII,FRAME 5 NA UKUTA NI NYUMA YA SOKO.MTEJA SERIOUS TUWASILIANE TAFADHALI killuminatejr@gmail.com
  12. S

    Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

    Ninacho kiwanja bunju B 2800sqm kina hati kutoka bagamoyo road mpaka site 600-700meter nataka 190 million
  13. S

    NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    Tv za vyumba viwili zinachangamoto,heater na ac zote ni nzima na lodge bado iko active na leseni ipo ya biashara upto date haina mgogoro wowote ukiwq tayari twende site ufanye research tukae mezani
  14. S

    NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    HABARI WANAJAMII, NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV. NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING UKUBWA WA ENEO 1600 SQM MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000 BEI 130 MILLION :-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
Back
Top Bottom