Mie nadhani kuwa server za Nida kutokana na architecture yake ni centralized kwa maana taarifa zote zinakusanywa kutoka kwenye wilaya na kuletwa central kwa ajili ya kutoa rudufu na kuzalisha kitambulisho . Aidha kwa mantiki hiyo kila wilaya inatakiwa kuwa na server yake kwa ajili ya kuhifadhi...
Wadau wa JF
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo Bravo saana.
Kuhusina na mada ya Kama ungekuwa wewe ungefanyeje Nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya...
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo
1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa?
a).......
b).......
c).......
d).......
n.k
2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo?
Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu
Una mpenzi wako unayempenda sana na unamtimizia kila kitu na umekaa naye takribani miaka kama mitano hivi . Halafu ilitokea amekwenda shule kusoma na ukamsaidia kwa hali na mali na jinsi ulivyoweza. Cha kushangaza shule kuna mambo mengi inatokea wanasoma na kijana mwingine ambaye wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.