Recent content by sosipeter

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    Unatoa hongera.. Una uhakika na hizi propaganda?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Lowassa amemfunika Dr. Slaa

    Umeongea ukweli kabisa nadhani pombe magufuli ana kazi ya ziada kuaminisha wananchi kuwa hawakukosea kumchagua
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sasa naamin vijana wa Lowassa wa IT kweli wamekamatwa

    Lowassa bado atakumbukwa kama shujaa wa nchii mwanamabadiliko wa kweli.. Lowassa mpiganaji wa kweli
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    Hivi hawa Nec haya matokeo wanamtangazia nani? Huku mitaani wananchi hawataki kuyasikia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Tunaomba chaguzi zote zisitishwe mpaka ifahamike kisheria tunafanyaje kwa hili la zanzibar mh jk tuendelee kuwa naye kwa miezi mitatu uwekwe uwanja huru kipute kipigwe tena
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Nikuhakikishie watarudi wengi kuliko sasa..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

    Kwa hiyo za Tanzania bara halari ila za visiwani ndio zimekosewa.. Mm nadhani kwakuwa huu ni muungano na wahuku ufutwe kwa upande wa rais tuchague upya siku moja.
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kiukweli maalim sefu wanamuonea sana kisa kaongoza yeye uchaguzi ni batili angekuwa anaongoza shein ungekuwa harali.. Hivi demokrasia mnayoihubili iko wapi jamani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

    Kweli bwana hawa wapiganaji sijui wako wapi..
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Mbona kaongea kesho watatoa tamko rasimi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Duuuu sitamani hata kuangalia matokeo
  12. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Nilisikitika sana kuambiwa kafulila umeshindwa komaa mpaka utangazwe jembe letu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jamani profesa j vp
  14. S

    JamiiForums Tanzania Singida - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mmh kweli ujinga mzigo
Back
Top Bottom