Recent content by Sos21

  1. Sos21

    Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

    Nonono ni UNATAPIKA KINYUME NA MAUMBILE
  2. Sos21

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Zaidi ya theruthi mbili ya ndegevita za f-35 hazina uwezo wa kuruka meanwhile hawa upinde wanaza kwenda kupambana na red army ya mother russia https://youtu.be/-o5-G3Wd3Gc?si=n1L060iL0BRvZF_I
  3. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Let say napenda kuwa spiritual than religious ila nipo more familiar na mgalilaya kuliko mudi
  4. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Tuelezee vizuri habari ya hekaya za mudi na allah tupate somo mkuu
  5. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Ndoto kwa mfano unaweza kuthibitsha kisayansi kuwa ndoto ipo
  6. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Sijajua kama kuna fact zinazothibitisha kuwa life as we know it imekuwa formed bila designer or creator....just a big accident
  7. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mzee mimi lengo langu kuu sio kukuthibitishia kuwa mungu yupo hilo ni swali ambalo majibu tunayo ndani ya mioyo yetu wenyewe My point ni kuwa there are lot of thing in our universe we cant prove using our current technology but the are there Ukweli ni kwamba hata wewe man of science huwezi...
  8. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Kuna siku nikiwahi kuwaambia wanajamvi kuwa science nayo ni dini kama dini zingine kwa sababu vitu vingi tumefundishwa kwenye the so called science especially evolution na big bang theory bila evidence zozote..JUST BELIEVE IT HAPPENED....IT IS A SCIENCE
  9. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mkuu leo naandika programu ya kukokotoa calculus yenyewe inataka ikokotoe magazijuto? Then nisipo i update iende ikaziambie program zingine kuwa designer wetu hayupo Suala la sisi kuamini au kutoamini kuwa creator wetu yupo haibadili fact ya kuwepo kwa designer wa hii planet
  10. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Na pia ukisema ili kitu kiwepo angalau kiweze kuonekana,kushikika, kusikika na kuhisikia Vipi kuhuku mtu aliyezaliwa kipofu utamthibitishiaje kuwa kuna anga au mtu ambaye hanusi utamthibitishiaje kuwa kuna harufu ya kinyesi. Sauti nzuri ya njiwa utaielezeaje kwa kiziwi mm? How to you feel and...
  11. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Haimaanishai sabu huwezi ku prove something bas haki exist
  12. Sos21

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Ipo hivi Mara nyingingi binadamu tunaelezea kitu tukiegema kwenye suala la -Muda(time), -Space(mahala/eneo/sehemu n.k), -Mada(matter) Hivi ndio paramater(uwezo)zetu kwenye kupambanua mambo. Mfano mtu anapouliza muumba/creator alitoka au alikaa wapi(mahali) anavoumba au ni lini(muda)alifanya huo...
  13. Sos21

    Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

    Alikuwa anaitwa MWAIKAMBO na mwingine alikuwa anaitwa MWAKIFUNA
Back
Top Bottom