Recent content by soran

  1. soran

    JamiiForums Tanzania Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Tafuta njia mbadala ya kutrend humu njia yako ya kupitia mgongo wa walimu inakinaisha
  2. soran

    JamiiForums Tanzania Nilijua ukioa unapewa kila siku

    Inategemea baadhi ya wanawake hawapo interested na hiyo ya kila siku pia majukumu ya kila siku ya utafutaji na ubize hupunguza kwa kiwango kikubwa uhitaji wa kila siku
  3. soran

    JamiiForums Tanzania Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

    Walimu wamewahi kukukera nini hasa unawasimanga Sana tupe uzoefu
  4. soran

    JamiiForums Tanzania Mnanitisha PM kisa kutetea walimu? Ikibidi kufa nipo tayari

    Jamani ni changamoto Sana yeye akilala akiamka anawawaza walimu tu nadhani kuna shida mahali
  5. soran

    JamiiForums Tanzania Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    Ukweli ni kwamba ukimuoa huyo mwanamke utataabika atakuendesha sana
Back
Top Bottom