Recent content by Sophist

  1. Sophist

    Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

    I consider this bullshit of highest order!
  2. Sophist

    LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wana-Group wote mliopo hapa jukwaani na raia wengine tunawaalika kesho kwenye Kesi ya Kupinga Uchaguzi wa Serikali za Vijiji, Kamati za Mitaa na Wenyeviti wa Vitongoji kusimamiwa na Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), iliyopangwa kwa mara ya kwanza kutajwa...
  3. Sophist

    Kenya: Mahakama Kuu yasitisha Ubinafsishaji wa Bandari za Mombasa na Lamu

    Unless yours is a calcature utakuwa na tatizo la uelewa!
  4. Sophist

    Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

  5. Sophist

    Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    This lady is unfit for presidency period!
  6. Sophist

    Mbarali: Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA wavunja rekodi ya mahudhurio

    Mikutano ya hadhara sawa, agenda ya nchi je? Samia ametenda kinyume kwa kuwateua wapemba kuongoza mashirika ya umma yasiyokuwa kwenye mambo ya Muungano - TPDC na NHC- Chadema kimyaaaa! Chama kime-compromize hakieleweki! Salaam zao! Lissu naye amechomoka kimya kimya kurudi ulaya! These guys!
  7. Sophist

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Ninafahamiana na Kasavubu. Ulichosema ni sahihi. Ni mha. Anatokea Kigoma. Naishia hapo
  8. Sophist

    Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    duh, self or state assigned chawa?
  9. Sophist

    Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    Hii Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam mbona looks like a disserted facility?
  10. Sophist

    Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Njia za DART (Morocco/Mwenge DSM) kimya. Mradi wa JNHPP (2025 badala ya June 2022). SGR serikali iko kimya. Barabara ya Kimara Kibaha 8 lanes kimya. Daraja la Kigongo kimya.
  11. Sophist

    Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Sijui iwapo cognitive competence ya Sasha iko sahihi. Miradi iligarimiwa na fedha za mikopo. Sawa! Lakini miradi haijakamilika na inaonekana serikali imeishiwa fedha za kukamilisha miradi hiyo wakati mikataba ya mikopo ya kugharimia miradi husika bado ni hai! Sasa kwa nini miradi imesimama...
  12. Sophist

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Too much unfounded confidence
  13. Sophist

    Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Haya, tupatie eye seen yako!
  14. Sophist

    Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Huyo Rugambwa aliwkuwa proxy wa Katibu Mkuu Sefue. Ndiye aliyemuweka pale kwa kazi maalum (soma ku-facilitate wizi wa fedha za umma kupitia manunuzi ya umma). Kabla ya uchaguzi Mkuu 2020, akishirikiana na waziri Ummy Mwalimu, waliiba pesa kwa kisingizio cha kuchangia CCM. Ni kweli kuna mchango...
Back
Top Bottom