Recent content by sophial

  1. S

    JamiiForums Tanzania ASA Microfinance

    Hakuna walioitwa hadi muda huu, achen kudanganya watu [emoji28] labda kama uliitwa kwa position zingine ila sio zile 100...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

    Wanaume wa siku hizi [emoji38], khaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hahhahaha walah hana staha, sema nyota yake ndyo kali maana pamoja na kuwadhalilisha bado watoto wakike wanajazanaa
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

    Hilo nalo nenooo, tuongee ukwel cha asubuh ni kizur! Kinakufanya uwe mwepes siku nzimaa
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

    Hahhahha umeonaa eee
  6. S

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo ajimilikisha Jokate

    Bora umeongea wew, mm wakat nasoma hii thread nikajua chin labda ntakuta pcha za kimahaba kbaooo kumbe hizo tu walzopga juz na wakapost wenyew!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo ajimilikisha Jokate

    Kwan wew unatafsir vip uzuri wa mwanamke?? Jokate ni mzuri na ana akil pia
  8. S

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hahahhaha uwii
  9. S

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Yani diamond ndyo msanii anyeongoza kwa kutokua na kifua kuhimil mambo ya mapenz, ananiboaa likija hilo swala hajui tu!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hahhahahahah umenichekesha, kwel mswahili mswahili tu no matter what! Huyo ndyo diamond mtoto wa tandalee
  11. S

    JamiiForums Tanzania Gari la Diamond Lamchefua Wema

    Atambeeee?? Mm angekua hata na nyumba ningemuona wa maana, Mbwembweee tu zile ile ishu ilivuja kuwa alikodii!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gari la Diamond Lamchefua Wema

    Ni kweli aliwahi kusema hayo maneno, afta kuhudhuria kweny kigodoro flani hiv kilipewaga airtime na medias ile mbaya
  13. S

    JamiiForums Tanzania Gari la Diamond Lamchefua Wema

    Mm binafsi huwa ananiboa sana, hajui tu! Kwann asiwe real? ??
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Waambieeee haooo! mbona wimbo wa chriss brown loyal amedance mwanzo mwsho na umehit worldwide, alingo wa p2 pia ni dance tupuuu! Wamuacheeee kiba wanguu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Hahahhahhaha
Back
Top Bottom