Recent content by Soot Mkorofi

  1. S

    Warioba ainyima gazeti la Jambo Leo tangazo la rasimu ya katiba kisa kushabikia serikali mbili

    Mjuzi wa mambo Mtoa mada umepotosha 100%. Kwanza tangazo lililotoka sio la tume ya katiba, ni Mkuu wa nchi aliyechapisha ripoti ya tume kama sheria inavyomtaka. Nadhani hukusoma vizuri, ile rasimu ilitolewa kama ilivyochapishwa kwenye government gazette. Walaumu Ikulu, Katibu Mkuu Kiongozi na...
  2. S

    Msaada: Chuo cha kufundisha mafunzo ya maabara (Laboratory technician) DSM

    Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory technician. Kama kuna mtu anafaham chuo cha laboratory technician kilichosajiliwa kilichopo maeneo ya Dar...
  3. S

    Gharama za simu (mobile tariffs)

    Jamani mitandao yetu ya simu imebadili gharama zao kimya kimya. Mimi natumia airtel, wamebadili vifurushi vyao kwa kupunguza dakika walizokuwa wakitoa. Kwa maneno mengine wameongeza gharama. Mfano, kifurushi cha wiki walichokuwa wanauza kwa Tsh1995 tulipata dk60 SMS 700 na 175MB. Sasa hivi kwa...
  4. S

    Namba za matapeli hizi hapa

    Wahuni hawa, tuwe makini sana.
  5. S

    TMAA walikamata madini yenye thamani ya 15bn shillings July 2012-November 2013 yakitoroshwa

    Wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania wametoa taarifa kuwa kati ya July 2012 na Novemba 2013 wamekamata madini yenye thamani ya shilingi 15billion yakitoroshwa kupitia viwanja vya ndege. Ukaguzi katika airports ulianza July 2012. Kabla ya utaratibu huo, nchi ilipoteza kiasi gani?
  6. S

    Huyu Ernest Massawe ni nani?

    Hebu naombeni kumfahamu huyu jamaa anaitwa Ernest Massawe, mfanyabiashara wa kitanzania. Ndiyo mwenyekiti wa Swala Oil and Gas Tanzania. Inasemekana huyu jamaa ana makampuni mengi tu ya madini na kwamba ana ukaribu sana na watu wa system. Hizo ni tetesi, hebu leteni ukweli wa mambo haya!
Back
Top Bottom