Recent content by sony23

  1. S

    Uyaudi na watu weusi

    The true Israelites
  2. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Hao nitakuja na uzi wao
  3. S

    Uyaudi na watu weusi

    Leo naendelea na huu uzi pale ambapo niliishia mara ya mwisho.. Baada ya kuona ushahidi wa wana historia mbalimbali juu ya uwepo wa wayahudi weusi ndani ya Afrika kaskazini na Afrika ya magharibi... leo nitatoa ushahidi wa wana historia na kuonyesha kuwa wayahudi weusi walijenga Empires za West...
  4. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Uzi huu unaendelea tulipoishia jana.. jana nilitoa historia fupi ya wayahudi na jinsi gani walivyolowea Afrika,.. ila leo natoa maelezo ya wasomi wengi walioingia Africa na kuona jamii za wayahudi weusi ndani ya hili bara na pia nitatoa historia ya wayahudi wengi weusi walioletwa Afrika kutokea...
  5. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Respect master✊
  6. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Nitakuja na uzi kuwahusu hawa weupe..
  7. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Hawakupata walikuwa nayo kiasili
  8. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Je ulishawahi kuwaza kuwa labda jamii ya watu ambayo ilikuwa na watu maarufu duniani kama Yesu, mfalme Daudi na mfalme Sulemani walikuwa na ngozi nyeusi? nakuletea taarifa kuwa jamii ya Wayahudi walikuwa na ngozi nyeusi na mpaka leo wayahudi ni watu weusi na kwa maana hii wewe unayesoma uzi huu...
  9. S

    Manesi walalamika kuchunguliwa nguo za ndani na wagonjwa wa kiume

    Aha hzo changamoto wanazitaka wenyew kwa kuvaa vinguo vifupii
Back
Top Bottom