Recent content by sontable

  1. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Mkuu wewe unaweza fanya jambo AMBALO ndugu wote hawalitaki Sasa maana ya kuishi Iko wapi? Au ww hela kwako ndo kipaumbele?
  2. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Ona kiazi mwingine huyu , suala la shule kutokuwa na nyumba na pia nyumba za kupanga kuwa mbali na eneo la shule hata halmashauri Hilo wanalijua na kabla sijaondoka kazini niliwafikishia hili
  3. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Hata nikihudumia wananchi Haina shida naweza fanya kazi bila malipo lakini nikawa napata zaidi kuliko huo mshahara, ebu jaribu kujibu swali jinsi lilivyojieleza
  4. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Ukweli upi unaotaka ww, Mimi nikienda kazini najua nitatumia hela nyingi kwenye Kodi na usafiri hivyo kwenye mshahara sitautegemea kabisa na hata wasipo nilipa it's ok coz najitosheleza but Kuna mazingira nataka kuuaweka sawa, jaribu kujibu hoja usilinganishe utafutaji wako na WA wengine, Nina...
  5. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Wakuu Nina uwezo wa kutokwenda na maisha yakaendelea sina Nia ya kwenda kazini kisa hela ya mshahara huo ndo ukweli jikite kwenye hoja acheni perception mnazojaribu kulazimisha ziwe kweli, hoja ni kuwa inawezekana au haiwezekani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Hello habari za majukumu! Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta mshahara wote unaishia kwenye pango la nyumba, nauli ya kwenda na kurudi kazini. Maana shule haikuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Online investments zinaweza kuwa suluhisho kwa vijana kukosa ajira

    Ushamba tu , hela ya utapeli haidumu Ina laana ndani yake jifunze
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

    Mwambie mke ukweli aisee
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

    Mimi bado sijaoa Ila tabia ya kusaidia watu ndo inanichelewesha yaani mtu akinililia shida Kama Nina 100000 afu anataka 80000 Nampa mm nabaki na 20000 . Ila nilichojifunza ni kuwa angalia mzazi wako baba na mama tu wengine wote Kama wanazaidi ya miaka 18 usiwasaidie mkuu. Watalaumu mwisho wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania NINA MILIONI 6 : Naomba mchanganuo wa studio nzuri ya picha

    Habari za usiku wakuu, Nina budget ya 6.2 milioni Ila wazo langu ni kufungua studio ya picha vipi kwa budget hio naweza fungua studio yenye viwango na Kama kuongezeka niongeze Bei gani maana hata fremu sina Nawasilisha nitashukuru kwa michango yenu Location : dar es salaam (kimara)
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanitoroka kisa nimemgombeza kwa kutofanya usafi ndani

    Pole Sana mkuu kama hauna mtoto oa mwingine kimyakimya hata usimtafute, pia oa anayekupenda sio unayempenda, maana mwanamke ukimpata kwa kuhonga huyo atakusumbua oa yule ambaye anaweza kuiba chakula kwao nakukuletea getho nenda kijijini huko wengi sana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Namba 10 umesoma?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Saa 12 na saa 7 mchana Hii sipandi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi vinara wa uchawi na ushirikina duniani

    Hapa nimepiga tunguli gani maandishi yamekuwa meupe acha ubishi Kama huamini uchawi basi pia huamini kuwa Mungu yupo
Back
Top Bottom