Exactly [emoji817] na ndicho kinachoenda kutokea hii ngoma imesukwa vizuri na Israel wenyewe wametamani Sana muda mrefu kuuvunja msikiti wa Al aqsa
Naona kila dalili ya kujengwa kwa hekalu la Suleiman, lililovunjwa na kujengwa tena na Zerubabeli na kuvunjwa na Dola ya rumi 70 BK ambapo wayahudi...
Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Na inasemekana hii spring counter offensive inakuja kushangaza sio Urusi tuu na dunia Bali na waukraine wenyewe.
Inaonekana term hii Ukraine na yeye anaenda kuteka baadhi ya maeneo ya Urusi Kama karata ya kumlazimisha aondoke kwenye mipaka yake.
Na mbaya zaidi wanaoitwa kibonde(horoya) walifuzu champions league three consecutive, Hawa wenzetu zaidi ya miaka 20 wanahangaika wangekuwa bora wangefuzu huku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.