Huu ni msiba miaka ya mwanzo ya tisini Dar es salaam kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa akiitwa Faruku na alikuwa akionekana nyakati za sikukuu kidongo chekundu gerezani kwenye viwanja vya michezo watu wote walikuwa wakimshangaa kwa miondoko yake na michezo yake alikuwa akihusishwa na ushoga.
Na...
kuna kosa gani kuzaliwa na mama mpemba manake nyie wanaharakati mna hila, huyu aliye mix ndio anafaa zaidi manake utanzania wake ni wa damu na sio udongo.
Acha uhafidhina mambo yanabadiliaka, ule ubabe wa kizamani hauna nafasi tena. Hakuna nafasi isiyozibika na amini nakwambia na sub yake inaweza fanya maajabu. Uspecial mliompachika mzee wa watu umemghalimu haya ni mambo ya aibu diplomats, very senior officer unafukuzwa kwa utovu wa nidhamu.
CCM...
Huu ni mkwara mbuzi! mbona hawakuwa watu wa Samia labda useme mwenda zake. Dunia hii ni nyingine jamani ile mikwara ya hamsini kweusi haipo tena, kama Irani kamdindia USA na shughuli kaipata amini nakwambia hakuna mnyonge tena kwa historia za zamani. Hata Samia sio mnyonge tena na anaonekana...
Dhamira ya Serikali JMT ya kuboresha mazingira ya kufanya Biashara Tanzania bado ni ndoto ya alinacha. Ukiwasikia viongozi wa kitaifa wanahubiri unaweza ukaona nchi ya ahadi iko karibu kuifikia lakini watendaji katika taasisi za Umma bado wamelala fofofo na wanaamini watanzania bado ni wale wa...
Habari ya kustua sana hizi, wahenga walisema mpe mchawi mwana amlee. manake hata mdhulu. Sasa huyu mchawi dola hana haya wala aibu. Kama walimshusha mzee wa watu katika Bus na kwenda kumuuua hawashindwi kumuwekea sumu mwenyekiti.
Hawa sio wengine, hawa ni viongozi waandamizi. Matendo yao ya nyuma yalishawishi watu kujiunga na chama, na wengine kuumia na hata kupoteza maisha. Sasa kuwa kiongozi wa umma kwa muda mrefu ni lazima wajikague athari ya matendo yao. Yaani wake zao wamebunya na wanafikia kuchukua kiinua mgongo...
Du hili umeandika sijui ni kitu gani na unataka kumweleza nani asiyejua kinachoendelea. Hawa wazee ni walevi wa madaraka na mabadiliko yamewatoa katika comfort zone zao na mademu zao.
Ugomvi wao wa kuwakumbatia mademu zao ambao ni Covid 19 umewashusha sana integrity yao kama wanamapinduzi wa...
Hizi ndio aibu za viongozi tulionao na wanapenda kudandia kila jambo. FIFA walikataza serikali kuingilia mchezo wa mpira sababu tabia za warasimu ni ubabe na kupenda kuabudiwa. Mkuu wa Mkoa mwenyewe kautaka sasa watu wakimjibu hawaangalii anacheo gani, kama anavyojibiwa kisugu na Gb 64 ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.