Recent content by son of the most high-01

  1. S

    JamiiForums Tanzania Familia tunalipa gharama kubwa kwa makosa ya baba

    Sijui nifanyaje hapa, ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki. Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake. Kosa hilo limesababisha mateso na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima. We are paying heavy price. Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Mmmmh pole sana mkuu: Mkuu haya maisha kila mtu ana mtihani wake, usione watu tupo hapa JF tunakomenti ,ni siri tu Usikate tamaa mkuu, Don't give up
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni wiki tatu tangu nifanyiwe tohara. Kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza

    Nashukuru chief Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni wiki tatu tangu nifanyiwe tohara. Kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza

    Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilichelewa kufanya tohara. Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara. Siku zilipita nilishiriki tendo,lakini sikufanikiwa kumaliza kwa siku zote mbili mfululizo. Yaani siku ya kwanza,nafanya hadi nachoka bila kufika mwisho. Siku ya pili tena,nafanya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni wiki tatu tangu nifanyiwe tohara. Kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza

    Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu, nilichelewa kufanya tohara, Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara, na kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza. Yaani siku ya kwanza, nafanya hadi nachoka,simalizi Siku ya pili pia nafanya hadi nachoka, simalizi. Je nini...
Back
Top Bottom