Yaani nimenda hotelini kunywa chai Msukuma sasa hapo tukakuta wasukuma wengine wanakipiga kisukuma yeye akawa mkalimani wangu ila aliponogewa akaniacha njia ya panda maana akaungana nao akawa anaongea bila tafsiri
Ujinga ni et unajinyonga kisa Mwanamke ambaye umemkuta sio bikra amekukataa halafu unatuachia na ujumbe ili kutusumbua. .Kuna wanaume Mungu awarehemu maana nikisema mm mtasema nawatukana.
Hii medical capitation nyie uongozi wa hombolo itaondoka na watu. Tunaipeleka kwa Waziri wenu kisha baba mwenye nchi. Kwanini mchukue 10000 zaidi wakati mtalipwa 5% na NHIF. ridhikeni na mnachokipata mnarudisha nyuma mpango wa serikali wa kuwahudumia wana nchi wake kupitia NHIF
Mkuu wa Chuo cha serikali za mitaa kilichopo Dodoma ameamua kuwa tapeli jumla jumla yeye na uongozi wake wote. Wiki iliyopita tulimuonya kuhusu kulipisha watu ambao wamechaguliwa na serikali moja kwa moja kujiunga na Chuo. Leo tena ameamua kuwa kiziwi.
Hivi hicho mnachoita medical capitation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.