Kwanza) kuliko yote nawapa pole wanawake wanaofanywa mapenzi kwa nguvu, ama kavu kavu, hadi anaumia, pole. Wanawake wengi wanakimbia waume zao, sababu mume anamuingilia mke kama kuku. Wanaume mnao subiri mke alale au alewe pombe ndio amuingilie, muna ugonjwa kichwani. Hii tabia inaweza kuvuma...