Ok, topic nzuri. Ila wahamiaji wachukuliwe wenye skills. UK inachukua kutoka India wale trading brokers, Drs, na Software engineer. Tanzania haihataji wsukuma mikokoteni, inahitaji creative skills people.
DUAL citizenship THUMBS UP. Mimi mmoja wapo tunaopata tabu kuja nyumbani. Unataka kufanya...
Hii topic tu hapo juu ni enough kukuondoa katika watu waliokua na akili timam.
Wacha waarabu kuuliwa hadhani kama paka, mwisho Karume alianza kuwauwa wasomi wote.
Kina Abdul Aziz Twala, Othman Sharif, Mohamed Hamoud, Saleh Sadala, Abdallah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, na wengine wengi.
Uliza...
Mkuu wa mkoa na commissioner wa polisi mkoani pia aondolewe.
Wanafanya nini zaidi ya kuvimba matumbo. Usalama wa raia ndio kitu cha kwanza. Tunajua mkoa wa Tanga umeuliwa kiuchumi, sasa basi usalama wa raia pia uwe hakuna?
Habari za kusikitisha ni kwamba katika kipindi cha mwezi mmoja kumetokea matukio ya UJAMBAZI mawili na kusababisha maafa na majeruhi ya watu 9 katika mkoa wa Tanga.
Jana usiku wa tarehe 20/04. kumetokea tukio la kijambazi mjini Tanga katika bakery ya Central iliyokuwepo Tanga Mjini.
Majambazi...
Sorry but the whole post is pile of garbage. Someone with his right mind will never copy and paste another person work or research. Most research were done in biased.
Kwa Kiswahili mabaya waliyo yafanya wazungu wa Magharibu hutoyasoma hadharani.
Africa ilitawaliwa kinguvu na Wazungu, waArabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.