Recent content by Somebody Katoroli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba adai alikuwa best student stashahada ya kwanza na ya pili.

    Sahihisha hii: kuna Astashahada yaani Certificate, Stashahada yaani Ordinary Diploma, Shahada yaani Bachelor's degree, Shahada ya Uzamili yaani Master's degree na Shahada ya Uzamivu hii ni PhD. Nadhani ulikuwa unamaanisha katika shahada na Shahada ya Uzamili.....
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serekali kuhakiki vyeti vya wafanyakazi

    Waanze na viongozi wa kisiasa kwanza, ma DC, RC, wadiwani, wabunge na mawaziri.
  3. S

    JamiiForums Tanzania ITV DK 45: Prof Muhongo asema - ni upuuzi wananchi wa Kusini kugomea gesi kutoka

    Huyu jamaa hana tofauti na trigger happy policemen. Yaani hii ni sawa kutonesha kidonda kinachopona.
Back
Top Bottom