Recent content by somalilady

  1. somalilady

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Babys Walker (Umri Miaka 5)

    Nimeambiwa sana kuhusu CCBRT nna mpango nifike ili tuone atavyoendelea maana ni changamoto inayonitesa mno…Shukran pia
  2. somalilady

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Babys Walker (Umri Miaka 5)

    Dodoma
  3. somalilady

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Babys Walker (Umri Miaka 5)

    Mwanao ana shida kama mwanangu the same issue… ila wangu ana miaka 3 bado hatembei haongei kwa kutambua anaongea anachojiskia… nimehangaika na mazoez ila bado… Mungu atusaidie changamoto ni kubwa sana😢
  4. somalilady

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza zulia carpet

    190000 nakupa boss
  5. somalilady

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza zulia carpet

    Nipo dodoma..
  6. somalilady

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza zulia carpet

    Habari… nauza zulia quality bado jipya limetumika kidogo sana kwa bei poa… tunaweza kuwasiliana dm kwa maelezo zaid
  7. somalilady

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza iPhone XS Max Gold, bei ya kutupa

    Chukua 400k boss
  8. somalilady

    JamiiForums Tanzania Nauza simu iphone X gb 64 350,000

    Una patikana sehem gan muuzaji?
  9. somalilady

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu ana miezi 12 bado hajaanza kutambaa, yeye ni kukaa tu

    Wangu ana miaka miwili now hatembei ni anasimamia vitu tu.. alipata degedege pia na alipata shida wakat kazaliwa… nimewaza sana, mazoez anafanya lakini bado… imebaki kumuombea tu
  10. somalilady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tunapenda sana Wanawake weupe

    [emoji2955]
  11. somalilady

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: job seeker Profession: Teaching Education: Degree (Bachelor of Arts with education) Experience : 2years Location: Dodoma urban.
  12. somalilady

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Nna division 1 safi kabsa form six na nimesomea ualimu...ni vile watu hudharau tu lakini kufanya kitu unachopenda ni vizur zaid.
  13. somalilady

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
  14. somalilady

    JamiiForums Tanzania Yajue maneno ya kibiashara na maana zake

    Umenikumbusha book-keeping ya form 1&2...by tge way umeeleza vyema
  15. somalilady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mkuu Rakims naomba msaada hapa,[emoji3516]
Back
Top Bottom