Recent content by Solomon David

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kumuita mwizi wa kura kwa jina stahili ---- mwizi?

    Wakati mabilioni yakiporwa kwa kisingizio cha umeme, Vasco Da Gama ameanza safari za kutembelea makaburi ..... baada ya miaka mitano, Tanzania itakuwa kama Zimbabwe - noti za milioni 10.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahudhuria uzinduzi wa kaburi la kifahari la mke wa Bingu Mutharika

    kwi kwi kwi.... thanks thank thanks thanks thanks very much
  3. S

    JamiiForums Tanzania Re:WHO OWN TANZANIA?

    Fisadi Kikwete na familia yake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge gani ungependa kusikia akichangia (au kutoa hoja) bungeni?

    kwa wale wapenzi wa pichazzzzz ... huyu hapa sijui atasema nini?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahudhuria uzinduzi wa kaburi la kifahari la mke wa Bingu Mutharika

    kwi kwi kwi, hapa umemaliza kabisaaa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete ndiye alisaini mkataba wa madini wa bulyanhulu?

    Huyu mzee ni aibu kwa taifa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

    Kikwete na ufisadi kwenye nishati ni kama pete (ile pete ya shehe yahya whuinsane) na kidole
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010

    of course nina langu jambo na wezi wooote duniani. Sina huruma wala simile na wezi na majambazi wa aina yoyote ile. Au wewe unaonaje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

    Kwi kwi kwi BL umenivunja mbavu kabisa.... nikipigwa ban, haitakuwa mara ya kwanza. Mimi ni mmoja kati ya wachache hapa JF tunaongelea ufisadi wa Kikwete kwa wazi (talk openly). Kwa wengine hapo juu mnaotaka kutafuniwa, hebu fuatilieni mjue ni nani alisaini mkataba wa kifisadi wa kampuni ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

    Upuuzi uko wapi hapo? Wale wale wasiopenda Kikwete ajadiliwe hapa JF
  11. S

    JamiiForums Tanzania The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

    Tuanze na fisadi mkubwa ambaye sasa ameishia kutembelea makaburi nchi za nje. This guy is a shame to our nation
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010

    Ya nini kupiga mzunguko wa kichaka (hit around the bush)? Waliyofanya ccm kwenye chaguzi za meya Arusha na kwingineko, ni kivuli tu cha yale waliyofanya mwezi november mwaka jana.
  13. S

    JamiiForums Tanzania DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Pesa hizi zitaishia mikononi mwa fisadi mkuu anayeitawala Tanzania kimabavu - Kikwete
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

    Yule mtoto mwingine wa Kikwete aliyesambaza sms zenye kukashifu wachaga na wakatoliki wakati wa uchaguzi (nimemsahau jina lake) naona bado anajifunza
Back
Top Bottom