Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Solomon David, Dec 29, 2010.

 1. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ya nini kupiga mzunguko wa kichaka (hit around the bush)?

  Waliyofanya ccm kwenye chaguzi za meya Arusha na kwingineko, ni kivuli tu cha yale waliyofanya mwezi november mwaka jana.
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Na kama pamoja na uchakachuaji waliishia 60% ujue walikuwa wamepigika vibaya sana.
  Hawana dhamiri ndio maana wataendelea kuyarudia hayo kila wapatapo nafasi.

  Kama tunatakia taifa hili mema kwa vizazi vijavyo basi tulio hai leo tudai mabadiliko ya kweli (katiba mpya) kila mmoja kwa nafasi yake.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapa ni africa, tafadhali!
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mzee leo umeamka na mkulu eh, umejaza topics kuhus mkulu..mpaka tunakushtukia kwamba una jambo wewe
   
 5. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  of course nina langu jambo na wezi wooote duniani.
  Sina huruma wala simile na wezi na majambazi wa aina yoyote ile.

  Au wewe unaonaje?
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  posible aliiba kura.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [FONT=&quot]Madrasah dīniyyah wewe![/FONT]
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  natamani kujua maana yake.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu. Ndivyo ilivyo.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Inawezekana aliiba au hakuiba ila kitendo cha kucheleweshewa matokeo ilitujengea hofu ya mazingira ya wizi.
  Yaliyopita si ndwele...
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unaweza kugoogle ndugu!
   
 12. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 13. m

  mpendakula New Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 22, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3

  Wakati hivyo vyama vingine vinaibiwa kura wao walikuwa wapi?
   
 14. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wapi
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kila mara oohhh CCM ushindi ni lazima daima, kumbe wizi mtupu!!!
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizo asilimia 26% zenyewe kaiba siyo bure..tutafanya uchunguzi zaidi
   
Loading...