Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Solomon David, Dec 29, 2010.

 1. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fuatilia wizara alizoongoza kipindi kile
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe hata mtoto wake Riz1na Mkewe Salma wameisha ambukiza ugonjwa wa ufisadi
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mtoa mada haupo straight, toa hints zako za nini alifanya then tutajadili.
   
 4. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niko as straight as they come
   
 5. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule mtoto mwingine wa Kikwete aliyesambaza sms zenye kukashifu wachaga na wakatoliki wakati wa uchaguzi (nimemsahau jina lake) naona bado anajifunza
   
 6. B

  Bull JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MOD, ondoa huu upuuzi, utaidharaulisha jf kwa mada zisizo na mshiko
   
 7. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upuuzi uko wapi hapo?
  Wale wale wasiopenda Kikwete ajadiliwe hapa JF
   
 8. e

  echonza Senior Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada alitakiwa aonyeshe matukio yanayothihirisha madai hake ili kuruhusu mjadala kuendelea. Huu ni uzembe kama wana-jf tutakuwa tunatoa maada zisizokamilia namna hiyo. Hivyo, nakubaliana na wewe kabisa kwamba, mada hii ni legevu sana. Huwezi ukasema tu kwamba, fuatilia Wizara alizowahi kupita. Je, kama kwa mujibu wa ufahamu wangu na wengine hauonyeshi hivyo kwa sababu ya taarifa kutokuwa wazi? Wewe uliyetoa mada kama ulikuwa na ukweli kuhusu dai lako ni vyema basi ukawaambia wana jf na si kuja na hoja butu namna hiyo.
   
 9. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  nasistiza kama jf itaendelea kua hivi basi wengi watajitoa. MOD please toa mada hii imekosa misingi mi 4 ya kifalsa. Metaphyical, ethical, aethetical and estimological approach. Toa kabisa mada hii, ikiwezekana mpige ban mtoa mada.
   
 10. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  We shall require a substantially new manner of thinking if jf is to survive.
   
 11. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi BL umenivunja mbavu kabisa.... nikipigwa ban, haitakuwa mara ya kwanza. Mimi ni mmoja kati ya wachache hapa JF tunaongelea ufisadi wa Kikwete kwa wazi (talk openly).

  Kwa wengine hapo juu mnaotaka kutafuniwa, hebu fuatilieni mjue ni nani alisaini mkataba wa kifisadi wa kampuni ya madini Bulyanhulu (kwa kuanzia)
   
 12. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Define metaphysical. halafu hizi "aethetical ,estimological" rekebisha ni aesthetics , epistemological

  Anyway hii sio misingi ya ya kifalsafa. Go and read 4 laws of thoughts in deep

  The laws of thought can be most intelligibly expressed thus:

  1. Everything that is, exists.
  2. Nothing can simultaneously be and not be.
  3. Each and every thing either is or is not.
  4. Of everything that is, it can be found why it is
  (Wikipedia)
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Aliratibu mkataba unaotuumiza wananchi wa IPTL akiwa wizara ya Nishati.
   
 14. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete na ufisadi kwenye nishati ni kama pete (ile pete ya shehe yahya whuinsane) na kidole
   
Loading...