Recent content by SOLOMO

  1. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo kipya kinakatisha tamaa kwa watumishi

    Upotoshaji huu. Hiyo miaka 12.5 ni kadirio tu. Mstaafu atalipwa pensheni kila mwezi hadi kifo chake.
  2. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo cha pension cha zamani

    Kikokotoo limbikizi ni 1/540, kadirio la miaka ya kuishi baada ya kustaafu ni 15.5 na kiwango cha mkupuo ni 50% ya pensheni.
  3. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Itoshe kusema kuwa, Mhe. SSH Rais wa JMT anayo dhamira njema ya kuondoa kero ya muda mrefu ya kutoongezwa mshahara Watumishi wa Umma lakini kwa ongezeko hili, dhamira yake hii inedhulumiwa! Haiwezekani Mtumishi hajapandishwa mshahara wa kisheria (Annual Increment) wala ongezeko la mshahara kwa...
  4. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu kikokotoo kipya cha mafao

    1. Malipo ya Mkupuo yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x12.2x0.33 = 55,303,448.28 2. MAlipo ya Kila mwezi yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x0.67/12 = 748,551.72
  5. SOLOMO

  6. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Tusisahau kuwa, vita dhidi ya Ugaidi imepewa kipaumbele cha kwanza na Mataifa ya Magharibi na ndiyo maana Mabalozi waliposikia kesi inayogusa ugaidi, wakaelekezwa kuifuatilia vyema na kwa taarifa tu ni kwamba, wanatoa mrejesho kwao kila wanapotoka Mahakamani na humu Tanzania hamtawasikia...
  7. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Unadhani approach anayotumia ya "Royal tour" itatoa majibu ya mkwamo katika utalii! Mimi nadhani Watalii hawatavutiwa na hili bali hali ya Kisiasa ikikaa vyema kukawa na utengamano wa jamii nzima ya Watanzania na kila mmoja akaisema vyema nchi yetu, watalii watasikia na kurejea tena kama enzi za...
  8. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Remember, she became a President by accident! Tusitegemee jipya toka kwa huyu Mam zaidi ya tozo za paa za nyumba, plaster, lenta n.k🚮
  9. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Ninachojiuliza, kwa uchumi upi Mama atakaotumia mwakani kuongeza Watumishi Mishahara!!? Au ndiyo danganya toto!! Yaaani mambo ni mengi sana!
  10. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Mbona unatema mate tu hapa! Rejea kwenye hoja! Mama anaongiza au anaongizwa!!?🚮🚮
  11. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  12. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  13. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  14. SOLOMO

    JamiiForums Tanzania Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Ameshakufa siyo!!? Kwahiyo Mbowe yupo Hotelini kwa siku 34!?
Back
Top Bottom