Swali kuhusu kikokotoo kipya cha mafao

petro h

New Member
Nov 17, 2015
2
1
Habari wanajamii. Naomba mwenye uelewa mzuri wa habari za kikokotoo kipya cha mafao ya mstaafu na pensheni anielimishe mambo haya.

(i) Kwa mfanyakazi atakayestaafu, kwa mfano, Nov 2022, ukokotoaji wa mafao yake utafuata kanuni mpya ya kikokotoo tu au itakuwa kikokotoo cha zamani kwa wakati aliofanya kazi kabla ya kikokotoo kipya jumlisha kikokotoo kipya tangu mabadiliko ya kikokotoo hadi wakati anapostaafu??

(ii) Kwa kadri ya majibu sahihi kwa swali hilo hapo juu, mfanyakazi atakayestaafu Nov 2022, ambaye wastani wake wa mshahara wa miaka mitatu ya mwsho ni (kwamfano) 1,500,000 na aliajiriwa (kwamfano) 1986 atapata mafao ya mkupuo kiasi gani na pensheni ya kila mwezi kiasi gani?

Msaada tafadhali!
 
Habari wanajamii. Naomba mwenye uelewa mzuri wa habari za kikokotoo kipya cha mafao ya mstaafu na pensheni anielimishe mambo haya.

(i) kwa mfanyakazi atakayestaafu, kwa mfano, nov 2022, ukokotoaji wa mafao yake utafuata kanuni mpya ya kikokotoo tu au itakuwa kikokotoo cha zamani kwa wakati aliofanya kazi kabla ya kikokotoo kipya jumlisha kikokotoo kipya tangu mabadiliko ya kikokotoo had wakat anapostaafu??

(ii) kwa kadri ya majibu sahihi kwa swali hilo hapo juu, mfanyakaz atakayestaafu nov 2022, ambaye wastani wake wa mshahara wa miaka mitatu ya mwsho ni (kwamfano)1,500,000 na aliajiriwa (kwamfano) 1986 atapata mafao ya mkupuo kiasi gani na pensheni ya kila mwezi kiasi gani?

Msaada tafadhali!
1. Malipo ya Mkupuo yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x12.2x0.33 = 55,303,448.28
2. MAlipo ya Kila mwezi yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x0.67/12 = 748,551.72
 
UTAPIGIWA HESABU KIKOKOTOO KIPYA
 
1. Malipo ya Mkupuo yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x12.2x0.33 = 55,303,448.28
2. MAlipo ya Kila mwezi yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x0.67/12 = 748,551.72
SIO SAHIHI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom