Hakuna lolote hapa: (i) ICC the Hague hawahusiki na wauza madawa ya kulevya. (ii) Tume ya kidini, haina Legal Mandate ya kuwawezesha kushughulika na suala lolote effectively. Kwahiyo kuwaambia wa-Tz kwamba wapo watu wamejisalimisha kwenye Tume ya kidini, kutubu makosa yao ili wasamehe ni uongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.