Unatakiwa kuwa na akili ya vita. unaona unamudu kumbe unaanza na p jamii. wakija mgambo mambo yanabadilika. jkt noma wakija wenyewe kazi inaisha vita akili bwana.
uk waoga tu na wamebaki na mdomo kama m bongo vitendo hakuna. Tazama anatishiwa vita vya mtandao anapiga kelele kweli anauwezo wa kusimama mwenyewe akapambana siamini. Ngoja inyeshe tuone panapo vuja.
Unapokuwa kiongozi wa dini na hapo unataka siasa siyo kweli maana unaonyesha ulivyo yaani yakaisali unayataka na ya mungu pia kwenye madhabahu siasa kweli tuwe na hofu ya mungu mahubiri hakuna kampeni tu halafu mnatudanganya au ni kwavile wanatoa sadaka kubwa. Mjuwe wamesha pola huku viongozi wa...
mpira unafaida kubwa sana ukiwa unaujuwa lakini kama haujuwi ni taabu nyingine na ndiyo maana wanaona ni kitu cha kawaida. Hebu chukulia wachezaji na mashabiki zao wote wawe wavuta bange ingekuwaje hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.