Recent content by sokowele

  1. sokowele

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM. Maagizo yake ni Sahihi kabisa yapo Kimafunzo zaidi!

    Kwani ni uongo? Ni vyama vya watoa taarifa tu.
  2. sokowele

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Je, kuna ukiukwaji wa katiba kwa Makonda kutoa maagizo kwa mawaziri na watendaji wengine wa serikali? Nijuavyo kazi ya chama ni kuisimamia serikali na hicho ndicho akifanyacho katibu mwenezi wa CCM. Tukumbuke kipindi Cha kikwete Kinana alitembea maeneo mbalimbali ya Tanzania na kuja na hoja ya...
  3. sokowele

    JamiiForums Tanzania Wengi wamlilia Makamba Nishati, Mitungi ya Gesi ya Majumbani na Bwawa la Nyerere vilimpaisha sana!

    HAHAHA. kila wakati Mungu ni mwema.
  4. sokowele

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Endelea kupambana ila tambua hata u DC hutopewa, utaendelea kuimba mapambio hewa hadi ukamilifu wa dahari.
  5. sokowele

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hahahaha
  6. sokowele

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    MU-HU-NI. anahoji uanachama wa Bashiru ndani ya CCM baada Bashiru kukemea machawa. Mbona hakuhoji mapema?
  7. sokowele

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

    Hawana majibu zaidi ya matusi na kejeli.
  8. sokowele

    JamiiForums Tanzania Zungu akiuka Kanuni za Bunge kuiokoa Serikali!. Pareso ang'ang'ania Shilingi! Almanusura!

    Unaongelea bunge Gani Mkuu? Hapa tz au nchi jirani? Kaazi kweli kweli.
  9. sokowele

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

    Tanzania yetu ina watu wachache sana wa kufikili kama unavyo fikili wewe, wengi huruhusu chuki na wivu kutawala wakati wa kuchangia. Jamaa anajaza CV kibao watanzania wahuni wanamkejeli. Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
  10. sokowele

    JamiiForums Tanzania Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

    ACHA WAHUNI WATUNYOOSHE, NI WAKATI WAO NA HAKUNA WA KUWAZUIA.
  11. sokowele

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Acha wahuni watunyooshe
Back
Top Bottom