tatizo ccm hawajiamini wenzao walijiamini na wakafanikiwa kwa 100% ijapokuwa siku iyo palikuwa na ARUSHA FESTIVAL NA PALIKUWA NA MPIRA WA SIMBA NA AFC ila chadema walijiamini katika sera zao ila ccm wao wanalala wakijiuliza tunapata wapi watu kama vile hawajawai fanya jambo lolote katika nchi...
Ukitaka kujua ugumu wa maisha rejea mwaka 2015 mwezi wa kumi bei za vitu muhimu katika maisha yako ya kila siku kisha weka mshahara wa wakati huo kisha rejea mwaka huu 2020 niambie mshahara ule ule ila gharama za maisha vimepanda je upo tayari kumchagua kuendelea na magu ama kumbadili?
chadema leo wamesema hawazindui ilani yao ya uchaguzi kwa kuwaeleza watanzania watawafanyia nini kisha wakaamua kuiweka kando kwanza na kuwaeleza watanzania kuhakikisha kila kata kila jimbo bara na visiwani kuna wabunge wa vyama vyote na kuna madiwani wa vyama vyote pasipo kuenguliwa mtu na...
Dunia kwa sasa macho yao yapo Tanzania kwa kila kinachoendelea kuhusu free and fair election ni wajibu wetu kuionesha dunia kila aliyeshinda ameshinda kwa haki ila kinachoendelea majimboni baada ya vyama vya upinzani wabunge na madiwani wake kuambiwa wanaandamana na kukamatwa kisa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.