Sema macdm wangangapi wameshughulikiwa na maccm wangapi wameshughulikiwa ndipo useme wapi kuna mafisadi, cha ajabu huoini serikali ya ccm ndiyo iliyokuwa inafisadi unamsema mtu ambaye hata serikali ya CCM haiwezi na haijaweza kumshtaki hata baada ya kuwa amehama na akasema mwenye ushahidi aende...
Mpaka sasa niambie ni fisadi gani ndani ya CDM ameshughulikiwa kama yupo. Walioshughulikiwa ni ma ccm. Kila mahali ni maccm, Sina uhakika kama unajua kinachoendelea ila nadhani unaushabiki tu, pole.
Inaonekana zito amepoteza kwa kutokuwepo CDM hata huko aliko hajaridhika. Ama sivyo asingekuwa anasemwa kuhusiana na CDM. CDM hawajasema wanamhitaji aendelee na mambo yake. Lakini kama atakuwa akifanya kitu washabiki wake wakitumie kukoga CDM ni kuonyesha kuna alichopoteza na anachokosa akiwa...
Je mawazo mapya ni Mbowe kutoka katika uongozi ndio wazo jipya. Ni nini kilichokataliwa akiwepo Mbowe? Kama ni ushindi labda wewe tu ndie hujui uchakachuaji wa matokeo. Huwezi ukasema kashindwa wakati uchakachuaji uko dhahiri, ubadilishaji wa matokeo kupitia tume unajulikana. Unashangaza...
Wewe unayeendekeza ukabila huna akili. Kinachoongoza sio kabila Bali ni MTU. Huwezi ukachagua kiongozi mbumbumbu eti kwa sababu ni kabila lako ukamwacha MTU anayefaa kwa sababu tu ni mchaga au Masai. Utakuwa unaonyesha kwamba wewe huna akili.
Saccos ina wabunge, ina madiwani, inaong hza halmashauri!! Saccos,naipenda maana zingine hazina , unajionyesha ulivyo mtupu usivyoweza kutumia akili yako mwenyewe bali unaimba wimbo usioujua. Umekaririshwa vitu usivyovijua. Tumia akili yako. Hapa unajionyesha usivyo na akili. Ni sawa na mtu...
Manaeno yako hayana maana. huwezi kulazimisha watu waseme unapotaka waseme, Wewe ndiye utaacha kupiga kura sisi tutapiga. Hata kabla ya uchaguzi sisi tulikuwa UKAWA na tunaendelea,. mliodandia mnaweza kushuka.
Mawazo mapya hayakatazwi na uongozi wa Mbowe, toa hayo mawazo mapya yafanyiwe kazi. Sio lazima mawazo hayo mapya yasubiri mpaka atakapotoka kwa njia ya uchaguzi.
Mimi na wengine wengi hatutammisi kwanza tunafurahi amemamaliza mda wake tulikuwa tumemchoka. Hatutammiss. Tummiss kwa lipi, EPA, Nawajua wafanya biashara was madawa ya kulevya. Walioiba hela za Epa warudishe. Jatutammisss.
Kwani Mbowe akiwa mwenyekiti CDM haiwi na demokrasia zaidi?
Kwani akiwa mwenyekiti wewe unakatazwa kuleta mawazo mapya yakafanyiwa kazi. Mpaka aondoke?
Kwani sasa hivi CDM haina sura ya kitaifa, mpaka aondoke.
Wewe huna lolote bali wivu tu. Mimi nataka Mbowe aendelee kuongoza. Mawazo yako...
Kupitia mbowe tangu amekuwa kiongozi wa Chama kimeendelea mpaka kuwa chama kikuu cha upinzani. Kwa hiyo wewe unayedhani hakuna upinzani anzisha chama chako cha upinzani uwe mpinzani sisi utuache na viongozi wetu full stop. Maana nakuona wewe si CDM wala haukitakii mema CDM. Akili zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.