Polepole ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa, kama Taifa na watu mnapoteza muda kumsikiliza basi wote wehu kama Polepole
Zitto Kabwe aliongea juzi kuwa Polepole anahitajj dawa za depression, leo ndio nimeamin baada ya kumsikiliza kwa kina Rostam Aziz.
Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan.
1. Anajitambua
2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake
3. Anaielewa vizuri kazi yake na mipaka yake
4. Ni mcha mungu, anatii amri za Mungu na Maelekezo ya Dini yake
5. Anatunza afya yake jambo...
Pamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa
Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati.
Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule
Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo.
Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama.
Zitto ni msomi sana...
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Pia soma >> Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli
Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile.
Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana...
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi.
2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi
3.Sina wa kumlaumu ila naomba kipa Yakubu Selemani apewe gari hivyo hivyo hata kama ameruhusu goli
4.Sina wa...
Tunakuomba mnyazi Mungu, ulisema atakayekuomba utampa, mimi mtanzania nakuomba utujaalie ushindi leo dhidi ya Morocco ili tuingie nusu fainali.
Kila jambo tumelifannya kwa ajili ya nchi leo, tuongeze dua watanzania, dua ya mwisho ni kuujaza uwanja wote ili mipango yetu iweze kufanikiwa zaidi...
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.