kuachana na mpenz wako sio sababu ya wewe kuanza kutangaza kasoro alizo nazo au mapungufu yake mbele za watu, huko ni kushindwa kuwa na hekma, na kwanin unatangaza baada ya kuachana kwanin hukutangaza wakat bado ni wapenz? Mbona yeye hatangaz udhaifu wako kwa watu? Wala kuachana sio sababu ya...