Mkuu asante kwa kushare, Lakini sijaweza kuitumia hii firmware sababu mfumo wake ni .ispff ni read file iliyotengenezwa na cm2mtk module ya infinity box... inahitaji same box ku write back na sina infinity box
kama unayo mfumo mwingine .bin au scatter file nitashukuru sana
Mkuu, hii firmware ni ya Tecno N2 na network ni Tigo, manufacturer ni Tecno... Mimi niliitaji ya Vodafone Smart Mini 7 model VFD 300 na network ni Vodacom, Manufacturer ni TCL/Alcatel
Nimeidownload kujiridhisha na kuiload kwenye miracle box details zimeonesha ni Tecno N2
Kama unayo ya...
Ukitengeneza scatter kwa kutumia miracle box haikubali ku write kwa kutumia sp flashtool nilitest nika notice... tumia miracle box ku write back
Mkuu naomba hiyo bin file
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.