tunasambaza mabanzi kutoka iringa,kwa wateja hapa dar wanaohitaji tunapokea oda
..ni PM
Updates:
mabanzi bado yapo,ni mti wa pines,ft 12,tunapokea oda,mzigo unaletewa mpaka mlangoni!bei ya jumla 2000!
wadau katika harakati za kuchunguza biashara ya kuanzisha na haka kamtaji kangu kadogo,nimekutana na wazo la kusafirisha mabanzi kutoka mafinga iringa kupeleka dar au dodoma,nimechagua mikoa hii kwasababu ni mwenyeji,na napenda niwenauza kwa jumla!yoyote mwenye uzoefu na hii biashara...
mhhh!alikua anatafutwa kwa miezi miwili,mara alikua anatafutwa kwa muda mrefu!tumeshawazoea,kwasababu kila kitu ni upepo,sahizi wanatengeneza mazingira ya upepo kupita!same old shit
mkuu hapo katika kusindika!nimekua nikifuatilia post nyingi zenye mada za ufugaji na kilimo na nawewe ni mchangiaji sana!,lakini kusindika sijabahatika kuona,kama una ujuzi wowote na hiyo kitu mwaga maujuzi hata kama kwa kuanzisha post nyingine then maswali yataanzia hapo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.