Recent content by sodeely

  1. sodeely

    GE2025 Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima kwa pamoja na kwenye vituo vya kupigia kura nani atalinda

    Maandamano ni HAKI yetu,hata Nepal walitishwa ila mwisho wa siku mliona..
  2. sodeely

    Maandamano ni haramu katika dini. Mkifa kwa ajili ya kuandamana nakuhakikishieni mnakwenda motoni

    Ila kuteka na kuuwa watu ni sawa,una enda peponi ukishaua? Ila waislam nyie kuuwa ni thawabunkwenu
  3. sodeely

    Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

    Andiko limeshiba haswa... Asante sana
  4. sodeely

    Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Aache kutuchanganya na yeye tunaitaka bandari yetu watanganyika
  5. sodeely

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Umeusoma mkataba au unabwabwaja tu?
  6. sodeely

    Miezi sita Sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri

    Ndio nilipima na sina tatizo kwenye eneo hilo
  7. sodeely

    Miezi sita Sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri

    Habari za leo ndugu zangu, Ni miezi sita sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri na wakati mwingine ngozi inachubuka kabisa.. Kuna wakati pia eneo zima linakuwa na joto sana na maumivu kiasi. Nimeshafika kwa wataalam kama mara tatu na kupatiwa dawa ambazo zinaonekana kutonisaidia. Hii...
  8. sodeely

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Wakuu naomba ushauri juzi nilipata mpenzi mpya lakini uume uligoma kusimama na hata ukisimama hauwi Na nguvu nilipata aibu sana.. Kiafya niko vizuri tu ila nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo je hii inawezekana ikawa sababu?
  9. sodeely

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Wadau habari za leo, nina kabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya fangasi sehemu za siri hasa kwenye corodani, nimetumia dawa za kumeza na kupaka lakini tatizo halijakoma. Je, kuna dawa nyingine ambayo naweza kutumia ili nipone maana zinawasha na kuleta harufu sio nzuri... Nawasilisha
Back
Top Bottom