Recent content by Society forum

  1. S

    Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

    He who alleges must proof is not only a civil law principle, but rather evidence principle applicable to both civil and criminal cases. The difference is the burden of proof. In civil cases the burden is on balance of probabilities and in criminal is beyond reasonable doubt as you have properly...
  2. S

    Naweza kuwashitaki CRDB ili walipe fidia kwa usumbufu na kadhia?

    Unaweza kufungua kesi lakini grounds zako zitakua weak dhidi ya zile za CRDB. Unaweza kupoteza gharama nyingi za kufungua kesi na iwapo CRDB watashinda utalazimika kuwalipa gharama za kesi (costs). Hivyo sikushauri kufungua kesi maana you have a very little chance of winning.
  3. S

    Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Zipo aina fulani za kazi zinataka watu single na utaoa baada ya kufanya kazi. Lakini baadhi ya waajiri hupendelea mtu aliyeoa maana anaweza kuwa more responsible and matured...lakini hizi zote ni dhana tu na hakuna ubaya kuweka marital status au kuiacha.
  4. S

    Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Ni kawaida kuweka marital status kwenye resume....suala la kabila lina ukakasi.
  5. S

    Kituko cha mwaka: Kupinga Katiba Mpya huku ukiwa umevaa T-shirt za kuhamasisha Katiba Mpya

    Wewe ndio unaelewa hivyo, Ila wengi hawawezi kuelewa. CCM wanajua wanachofanya but wanatumia ujinga wa watu kuwaingiza chaka. They know what they are doing. Kumbuka hawajali population ndogo ya elites ambao wanaweza kuchambua na kuchanganua mambo...wapo busy na ignorant mass...
  6. S

    Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Kodi ya VAT inakatwa. Na tozo juu! Kama kodi imeshakatwa tozo ni ya Nini? Tena inaitwa tozo ya serikali kwani hiyo VAT ni ya nani?
  7. S

    Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    Majimbo yalikombolewa na NEC siyo Sabaya. Ingekua ni Hai tu imekombolewa ingeleta maana.
  8. S

    Vuguvugu Katiba Mpya latikisa mtandao wa Twitter

    Itachukua muda mrefu sana kupata katiba kupitia Twitter. Watanzania wengi hasa vijijiji hawaijui hiyo Twitter, hivyo serikali haijali sana. Ni Imani yangu around mwaka 2030-2040 Tanzania utakua na katiba mpya. Na ifahamike asiyetaka katiba mpya ni CCM Kwani Kikwete alitaka kutuachia katiba mpya...
  9. S

    Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

    Hii dhana kwamba Sabaya alimkosesha Mbowe Ubunge ina walakini. Kwani ukiangalia karibu majimbo yote yameenda CCM uchaguzi wa 2020. Sasa kuna kipi cha ajabu alichokifanya Sabaya? Hata kama ingekua ni kweli alimdhibiti Mbowe hakupaswa kumdhibiti kimabavu. Pia nafikiri si kazi ya DC kudhibiti...
Back
Top Bottom