Recent content by SOBIBO

  1. S

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Well Done My Presidaaaa Magufulii. Mdogo mdogo
  2. S

    Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

    We mama unafikiri upo pekeee yako. Kapike ujiii .mwache President apige kazi. Mlikuwaa 400 na usheeee what so special about you. Au umekopaa ukatoaa rushwaaa . Unaboaaa
  3. S

    Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Safi sana Dr MWAKYEMBE. Umewashika pazuri
  4. S

    BOT yapunguza riba ya mikopo kwa Bank za ndani,toka 16% mpaka 12%

    Hongera Sana BOT it's right move. Itasaidia kulazimisha mabenk kupeleka hela mtaani l mean kwa wakopaji Badala ya kununua hati Fungani. Serikali ichukue hatua ya pili kulipa wafanyabiashara ili banks wawe na imani nao ..... natumaini serikali ikifanya hivyo na kutoa kazi mpya kwa...
  5. S

    Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

    Mwenyekitiii mboweee unamwona Mwakyembe waziri wakati wewe ulibadilisha gia angani ukamkabidhi fisadi kugombea urais MBOWE YOU HAVE NO MORAL AUTHORITY TO SPEAK MKUU KUHUSU UFISADII ......ANGALIA AKILI YA YULE JAMAA ALIYEKUWA ANAKUSAIDIA MITIHANI ZZK AMEMPA PROF MUHONGO BIG TASK KULIKO...
  6. S

    Wycliffe Muga: Magufuli 'Reforms' Are Meaningless

    Rais haongozi kwa tuhuma ana vyombo vya kuchunguza ndio maana alitumia muda mrefu kupata information Zao. Tumia ubongo kufikiri . QUOTE=Jay One;14837681]Magufuli was not prepared well to lead as a Head of the State...!!! Ila Mungu amuongoze, alianza vizuri.. ila baraza la mawaziri...
  7. S

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    pole sana president c wa kusikiliza majungu... Pia nahisi unawashwaaa au nanii zimekumwagikiaa kuoge
  8. S

    TASAF na KAYA masikini

    Kafanye research ndio uje hapa...
  9. S

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Mchapakazi. Mungu atamwongozaaa
  10. S

    Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

    Tulia nani asiyejua Dr Tulia ni mtoto wa Dada yake Dr Migiro. Mama mdogo akapendekeza apewe unaibu Mwanasheria Mkuu? JK alimtaka Migiro kuwa Rais na Membe akashindwa wakachukua mrengo wa mbali for their interest ....Kuna nini .....Zitto amejenga hoja Zungu anakubalika na ingekuwa kuongoza ni...
  11. S

    John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    Nimekupata Mkuu. Naona kuna king wanataka kumwingiza baada ya hapo ni Maisha bora kwao na John ataumia sana kwa mapenzi yake ila atakuwa hana cha kufanya. Hawataki awe na watu wenye msimamo ili waendelee kutumikaaa...maskiniii naumiaaa ila Nina imani na John na mapenzi yake kwetu. John usiamini...
Back
Top Bottom