Recent content by soam

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    UVIKO-19 au COVID-19
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Mkuu huo unaouita utaalamu mpaka sasa haujatupatia majibu ya maswali hapo juu, jaribu kufuatilia kwa hao wataalamu watakuthibitishia. Lakini ujue swala la afya linatuathiri mtu mmoja mmoja na kama taifa bila kujali utaalam kuanzia kwenye mipango, mapato, matumizi, na maisha ya kila siku. Tukikaa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Kuna watu wengi wanapona kwa kutumia dawa za hospitalini pamoja na mitishamba kwa gharama ndogo (ya kawaida) lakini dawa hizi hazisisitizwi popote, yaani dunia imeamua kwenda na chanjo badala ya tiba huku wengi wakiangamia wakati tiba ipo. Je, ni kwamba hizi dawa hazifai? Msaada wa chanjo...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Wapo sana, ila ukimkuta atakuwa siyo wako
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Sawa, ila vipengele vyepesi kuelewa.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na kujidunisha mahusiano kuyaboresha. Mpewa zawadi na kushukuru asiyekosoa kabla ya kushukuru, maana kwake...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Updates kuhusu BOT

    Nilifanya interview mwaka huu na nilitokea Mara ila hawajanirudishia nauli. Siku hizi hawarudishi, ilikuwa zamani.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya Tigo Pesa

    Ni kwa bei ya promotion, laki nne na nusu tu. Niko Dar es salaam. 0715 265 008
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya Tigo Pesa

    Ni kwa bei ya promotion, shilingi laki nne na nusu tu, niko Dar es salaam. 0715 265 008
  10. S

    JamiiForums Tanzania PPF Aptitude Test

    Sitegemei, kwana anahusiana vipi na kazi?
  11. S

    JamiiForums Tanzania PPF Aptitude Test

    wametuma e mail, ni nafasi za operations trainee. Interview inafanyikia mlimani (udsm)
  12. S

    JamiiForums Tanzania PPF Aptitude Test

    Naomba mwenye uzoefu wa APTITUDE TEST za ppf anisaidie.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya Tigo Pesa

    Shilingi laki tano na nusu, niko Dar. 0715 265 008
  14. S

    JamiiForums Tanzania Line ya TIGO PESA inauzwa

    Laki sita
  15. S

    JamiiForums Tanzania Line ya TIGO PESA inauzwa

    Bei maelewano
Back
Top Bottom