Mbowe ni kiongozi , watu hawana budi kutambua hili, alafu kuna mambo yanahitaji wisdom na sio emotion katika kuyatatua. Tukio lile ni mtego mkubwa Sana Kwa Mbowe angeshindwa ingeonesha hafai kuwa kiongozi wa chama kikubwa kama chadema.
Sasa unafikiri wa china hawana akili wanajua wakiioboresha hii Kwa viwango vya kisasa iwe ya umeme that's means viwanda vyao vyakutengeneza trucks vitakosa soko kama haitoshi that's means viwanda vyao vya kutengeneza mabasi vitakosa masoko, yaa kinachofanyika hapa ni kama jamaa (wachina...
Mwezio akinyolewa wewe tia maji nchi za kusini mwa Africa zilikumbwa na ukame mkali msimu wa mvua uliyo pita sasa huwezi jua mabadiliko ya hali ya hewa Kwa msimu ujao Kwa nchi zetu Africa mashariki , jambo ambalo tunapaswa kuliwekea katika mikakati ni kuwa alternative source ya power iwe solar...
Kitu ambacho nimejifunza na nina jifunza kuhusu baadhi ya watanzania tunapenda kumind vitu visivyo na msingi ,yaani anaweza kuwa kiongozi anafanya vizuri sana katika majukumu yake let's say ni daktari,injinia, waziri lakini akitokea anaongea kingereza alafu akakosea kidogo tu kuongea ,basi...
Nahisi kitu kinachofanya life span ya watu mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu ni life style hasa katika ulaji sababu ya ubahili mfano mpare chakula yake ni makande na mchaga ni ndizi wanakula kitu original na wakienda kusaga mahindi hawakoboi ,alafu kwenye mambo ya mboga wengi sababu ya ubahili...
Hiyo ni defence mechanism, baada ya kuona wamewa disappointe watu licha ya matangazo lukuki waliyo yatoa hapo nyuma sasa Ili pate public sympathy lazima ajibaraguze Kwa kufanya vile by the way wala yale machozi sio cha moyoni.
Wapinga Chanjo ,hawa ni watu wenye kutaka umaarufu tu ,kimsingi huwezi kusema kwamba chanjo ni mbaya na kwamba ina madhara hivyo watu wasusie na wakati mama akiwa mjamzito ataendenda hospitali atachanjwa bila bughuza yeyote,mtoto akizaliwa ataenda clinic atapata Chanjo zote in different series...
Having a chance of meeting with Putin somehow is a privilege for her, as Tanzania is nearing election, it may be a political millage to allure electorate . Time will come this event will be used as token to convince people of Mbeya town to bring her back again because she is internationally...
Ukiona mtoto ananyonya kidole basi ni kwamba kipindi angali tumboni mwa tumbo la mama yake huyo mama yake alikuwa akijiriwadha Kwa kujingiza kidole sehemu moja nyeti mwilini mwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.